Video

EPL: Mambo 6 yakukumbuka katika Historia Ligi kuu ya Uingereza (EPL)



Najua wengi ni watazamaji na wafuatiliaji wazuri wa ligi kuu ya uingereza, lakini kuna baadhi ya mambo ambayo hujapata muda wa kuyafuatilia, Video za Soka zinakuletea habari hizi.

1. Aliyefunga goli la kwanza EPL.
    Anaitwa Brian Deane wa timu ya Sheffield United katika ushindi wa 2–1 dhidi ya Manchester United        katika msimu wa 1992-93



2. Kulikuwa na Jumla ya timu 22 katika EPL msimu wa 1992-93

Wakari msimu unaanza kulikuwa na jumla ya timu 22 katika epl ambazo ni;
Arsenal, Aston Villa, Blackburn Rovers, Chelsea, Coventry City, Crystal Palace, Everton, Ipswich Town, Leeds United, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Middlesbrough, Norwich City, Nottingham Forest, Oldham Athletic, Queens Park Rangers, Sheffield United, Sheffield Wednesday, Southampton, Tottenham Hotspur, and Wimbledon.



3. Timu iliyopoteza mechi chache zaidi katika EPL

Arsenal ilicheza mechi zote 38 bila kupoteza hata moja katika msimu wa 2003-04


4. Timu iliyochukua makombe mengi zaidi EPL
Manchester united imechukua jumla ya makombe 13 ya EPL




5. Mchezaji aliye cheza mechi nyingi zaidi EPL
Ryan Giggs amecheza jumla ya mechi 631 toka mwaka 1992 hadi tare 22 Februari 2014.




5. Faulo mbaya zaidi katika Historia ya EPL

Eduardo Da Silva wa Arsenal alichezewa rafu mbaya zaidi na Martin Taylor wa Barmingham City



6. Msimamo wa Jumla wa Ligi ya epl toka 1992 hadi may 2014

Related

sports 5585335421060122037

Post a Comment

emo-but-icon

Follow Us

Hot in week

Recent

Comments

Side Ads

Text Widget

Connect Us

item